Canon imageRUNNER 2204 Refurbished yenye ubora wa hali ya juu. Mashine imekaguliwa na kujaribiwa ili kuhakikisha inafanya kazi kwa ufanisi. Inatoa huduma za Print, Copy na Scan kwa ubora mzuri na kasi ya kuaminika. Inafaa kwa ofisi, shule, taasisi na biashara zinazohitaji uchapishaji wa kila siku. Iko tayari kutumika.