Tunauza mashine za kufunga vifuniko vya chupa au electric handheld capping machine Tanzania, zenye nguvu na urahisi wa matumizi kwa biashara ndogo na kubwa. Mashine hizi hutumika kufunga vifuniko vya chupa haraka na kwa usahihi bila kutumia juhudi nyingi za mikono, hivyo kuongeza ufanisi wa uzalishaji wako.