ingco jigsaw – kazi safi, matokeo bora!
unatafuta mashine ya kukatia mbao kwa usahihi na urahisi? ingco jigsaw ni chaguo sahihi kwa mafundi seremala na watu wa kazi za ujenzi na useremala.
hukata mbao kwa urahisi na usahihi
inafaa kwa kukata maumbo mbalimbali
rahisi kutumia na kushika
inafaa kwa kazi za useremala na workshop
ns smart tools and machines
gerezani, mtaa wa kipata na nyamwezi – kariakoo, dar es salaam
piga simu077XXXXXXX