Garrett Goldmaster 24k ni metal detector ya kisasa
iliyotengenezwa mahsusi kwa kutafuta dhahabu na metali
yenye usahihi wa hali ya juu.
1 : UWEZO WAKE;
• Vumbi la dhahabu / kipande cha 0.1g - 0.5g: 3cm - 10cm
• Nugget ndogo ya 1g - 2g: 10cm - 20cm
• Nugget ya 5g - 10g: 20cm - 35cm
• Kipande kikubwa zaidi ya 20g: Inaweza fika 40cm - 60cm
: SIFA ZAKE;
- Teknolojia ya kisasa ya 48 kHz kwa uwezo mkubwa wa
kugundua vipande vidogo vya dhahabu
Inafanya kazi vizuri kwenye maeneo yenye madini mengi
(high mineralized soil)
- Ground Balance ya kisasa kwa matokeo sahihi zaidi
- Rahisi kutumia kwa wanaoanza na wataalamu
- Inafaa kwa utafutaji wa dhahabu migodini, milimani na maeneo mbalimbali