Inatumika kwa kazi mbalimbali za ujenzi na ufundi.
KAMA VILE :-
* Kuchimba mashimo (drilling)
* Ukuta (kwa kutumia masonry bit)
* Mbao
* Chuma (kwa kutumia metal bit)
* Kufunga na kufungua skrubu
* Inaweza kutumika kama screwdriver ya umeme
* Rahisi kwa kufunga fenicha, makabati, n.k.
* Impact function
* Inasaidia kuchimba ukuta mgumu kama
zege (concrete)