Mwangaza wa Uhakika Usiku na Mchana! Jipatie Mfumo Kamili wa Sola Kisasa!
Ondokana na kero ya kukatika kwa umeme au ankara kubwa za kila mwezi. Tunauza vifaa vyote vya sola vyenye ubora wa hali ya juu na teknolojia ya kisasa:
Solar Panels: Zinafaa kwa matumizi yote, zenye uwezo mkubwa wa kufyonza mwanga.
Mifumo ya Betri: Betri imara (Gel & Lithium) zinazohifadhi nishati ya kutosha kwa matumizi ya usiku.
Vigeuzi (Inverters): Smart Hybrid na Pure Sine Wave (12V, 24V na 48V) zinazolinda TV, friji na kompyuta zako zisiharibike.