Tunauza taa za solar 500 Watt Tanzania, taa zenye nguvu ya juu zinazotumia nishati ya jua kwa mwanga wa kutosha nyakati za usiku. Taa hizi ni bora kwa matumizi ya nyumba, biashara, shamba, na maeneo yasiyo na umeme kwani zinaweza kutoa mwanga thabiti bila ya umeme.