royalty air compressor 100 litres – imerudi tena!
unatafuta compressor yenye uwezo mkubwa kwa kazi zako? royalty compressor 100lt ni chaguo sahihi kwa matumizi ya gereji, mafundi wa magari, kupaka rangi na kazi mbalimbali za kutumia hewa yenye presha.
uwezo wa tanki: 100 litres
inafaa kwa kazi za gereji na workshop
kwa kupaka rangi na matumizi mengine ya hewa yenye presha
inafaa kwa mafundi na biashara
inapatikana ns smart tools & machines
mahali: kariakoo, gerezani – mtaa wa kipata na nyamwezi
piga simu/whatsapp077XXXXXXX