Digital Scale ni mizani ya kidigitali kwa ajili ya kupima uzito kwa usahihi. Inafaa kwa matumizi ya biashara, dukani, nyumbani na shughuli mbalimbali za kupimia bidhaa. Ni rahisi kutumia na ina display ya kuonyesha uzito.
Tunapatikana Kariakoo Nyamwezi na Mkunguni.
Wasiliana nasi: