Viwanja vinauzwa vipo karibu na stendi ya treni ya mwendokasi morogoro mjini, pia vipo karibu na chuo cha muhimbili, viwanja vimepimwa na manispaa na vina hati, ukinunua zoezi na gharama za kubadilisha umiliki ni juu ya muuzaji, wewe utakuwa shahidi tu na kukabidhiwa docoment ndani ya ofis za ardhi manispaa, ukubwa ni 25 kwa 35
Square meters: 700