Solar Panel ya Ndani: Inajichaji kwa jua kupitia sola panel iliyo nyuma.
Kuchaji Simu: Ina mfumo wa USB wa kuchajia simu aina zote.
Taa 2 za Ziada: Inakuja na bulbs 2 zenye waya ndefu kwa ajili ya vyumba tofauti.
Mwanga Mkali: Taa kuu ya mbele ya COB LED + torchi ya pembeni.
Rahisi Kubeba: Ina kishikio cha mkononi, inafaa sana kwa dharura na usafiri.