Built-in Solar Panel: Inajichaji yenyewe kwa kutumia mwanga wa jua.
Inachaji Simu: Inakuja na waya wa USB kwa ajili ya kuchajia simu aina zote.
Taa za Ziada: Inakuja na bulbs 2 zenye waya ndefu za kutundika vyumbani.
Mwanga Mkali wa COB LED: Inamulika eneo kubwa na kuangazia vyema.
Portable: Rahisi kubeba mahali popote, inafaa sana kwa matumizi ya nyumbani, dukani, au camp.
Delivery: Tunafanya delivery mkoa wa Dar es Salaam na kutuma mikoa yote Tanzania!