tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Repair & Construction
  3. Plumbing & Water Systems
  4. Water Pumps
  5. Solar Water Pumps
Promoted
Dar es Salaam, Ilala, 3 hours ago
61 views

Wachimbaji Visima Tanzania

+1
Wachimbaji Visima
Brand
Uchimbaji visima
Type
Brand New
Condition
unahitaji maji safi na ya uhakika? tunatoa huduma za uchimbaji wa visima vya maji kwa teknolojia ya kisasa na kwa bei nafuu! pia tunauza pump za maji za kila aina – za umeme na solar– zenye ubora wa hali ya juu na dhamana ya kudumu. uchimbaji wa visima vyenye maji ya kutosha kwa matumizi ya nyumbani, biashara, mashamba, na viwanda. pump zenye nguvu na zinazotumia nishati mbalimbali kulingana na mahitaji yako. huduma ya usafishaji visima popote pale tanzania. huduma ya upimaji yani water survey. huduma ya ushauri na ufungaji bure! tunatoa huduma popote ulipo! piga simu/whatsapp: + and care water service ndo suruhisho la tatizo lako maji safi, maisha bora – tunaamini ubora!
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif