Imetengenezwa kwa sponji laini na vifaa vya watoto kuchezea.
Ina njia za kupita na kutambaa.
Ina sehemu za kupanda na kushuka kwa urahisi.
Rangi mbalimbali zinazovutia watoto.
Husaidia kukuza uwezo wa mwili, usawaziko na uratibu wa mikono na miguu.
Inafaa kwa shule za chekechea, daycare, play centres na matumizi ya nyumbani.
Huchochea ubunifu, mazoezi na michezo ya watoto.
Inafaa kwa watoto wadogo chini ya uangalizi wa mtu mzima.