Imetengenezwa kwa foam laini na salama kwa watoto.
Husaidia watoto kujifunza kutambaa, kupanda na kushuka.
Hukuza usawaziko, nguvu za misuli na uratibu wa mwili.
Ina rangi zinazovutia watoto na kuchochea ubunifu.
Hupunguza athari za kuanguka wakati wa kucheza.
Inafaa kwa daycare, chekechea, play centres na nyumbani.
Ni rahisi kutumia na kupanga kulingana na nafasi iliyopo.
Inafaa kwa watoto wadogo chini ya uangalizi wa mtu mzima.