-nitakufuata hadi ulipo( utanilipia nauli)
-nitakufundisha kwa ukaribu kabisa kuhakikisha unaelewa ninacho kufundisha, (sitoingia mada nyingine kabla hujaelewa ninacho kufundisha)
-nitakupa mazoezi mbalimbali ili kukuza uelewa wako katika mada husika.
- tutapitia maswali mbalimbali wote ambayo yanakupa utata.
-ninafundisha ngazi zote
(form one hadi form six- physics,chemistry,geography and mathematics) na darasa la saba kwenda chini(masomo yote)
-ukiwa na vitabu itakuwa bora zaidi