Kasi ya Juu (High Speed): Inasawazisha hadi 300Mbps kwa ajili ya kuperuzi intaneti, kuangalia video (streaming), au kucheza game bila kukatika.
Teknolojia ya Wi-Fi: Inatumia Standard ya 802.11n / b / g inayokubali router zote za Wi-Fi au Hotspot ya simu.
USB 2.0 Interface: Inachomeka kwenye port yoyote ya kawaida ya USB katika kompyuta yako.
Ukubwa Mdogo (Mini / Nano Design): Ni ndogo sana na haichukui nafasi, unaweza kuiacha imechomekwa kwenye laptop bila kuisumbua.
Matumizi Rahisi (Plug & Play): Ni rahisi sana kuifunga na kuanza kutumia kwenye Desktop au Laptop.
Matumizi Mbalimbali: Inafaa kwa wanaotaka kuunganisha Desktop Computer na intaneti ya Wi-Fi/Hotspot au kufufua Wi-Fi ya Laptop iliyoharibika.