CHINA MOBILE H1S-3 GPON ONU – KWA INTERNET PROVIDERS
Unafanya biashara ya kusambaza intaneti? Hiki ni kifaa cha fiber optic kwa ajili ya kuunganisha wateja kwenye mtandao wa GPON.
WiFi yenye antena 2
LAN ports 4 kwa miunganisho ya waya
USB port
Kinafaa kwa miradi ya FTTH kulingana na mfumo wa mtandao.
Kinafaa kwa ISPs, mafundi wa fiber na wasambazaji wa intaneti.
Wasiliana nasi kwa bei na maelezo zaidi.