apartment_inapangishwa mbezi kibanda cha mkaa
.
.
ina vyumba 2 vya kulala kimojawapo ni master bedroom, sebule kubwa,jiko kubwa na choo cha familia
.
.
hizi apartment zipo 4 kwenye fensi moja na nyumba ni mpya kabisa
.
.
kila apartment inajitegemea kwa kila kitu
.
.
zipo mbezi kibanda cha mkaa upande wa kulia kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni kilometa 2
.
.
.
whatsapp
calls /
kiwanja_kinauzwa mbezi kibanda cha mkaa
kiwanja kinauzwa kipo mbezi kibanda cha mkaa
kiwanja kina ukubwa wa 20 kwa 25 ambayo ni sqmt 500
kipo sehemu nzuri na pia kina fremu mbili ndani yake na hudumu zote za kijamii zipo
kipo umbali wa kilometa 2 kutoka morogoro road
Kiwanja kipo mahali ambapo tayari majirani wameshajenga na maisha yanaendelea.
Kipo mahali ambapo ni karibu na barabara ya kuingia Mjini Bagamoyo kutoka Dar-es-Salaam na pia ni karibu na barabara ya Bagamoyo - Msata.
Tayari miundombinu muhimu ipo.
Piga simu tu na kiwanja kinakuwa mali yako
njoo ujipatie kiwanja cha makazi ng'ong'onha (karibu na hospital ya Benjamin Mkapa ) pembeni na shule ya msingi ng'ong'onha ( Udom). ukubwa wa kiwanja ni miguu 16*16 bei poa sana
Kiwanja kizur sana cha makazi na biashara , kipo mita 90 kutoka chuo cha muhimbili, waweza jenga hosteli wanafunzi ni wengi wanauhitaji wa kupanga, kipo mita 800 kutoka barabara kuu ya moro dodoma au kihonda mizani ya zamani
Nauza kiwanja cha kujenga mashine ya kusaga nafaka kama vile,unga na alizet kipo nkuungu muungano sehemu hiyo imejengeka ila hakuna kiwanda ni fursa ya kipekee kwa muwekezaji
majirani wa hilo eneo ni nkuungu juu,ndachi na mnada mpyaa
kama pesa ipo na unataka kuwekeza njoi nikupeleke site
note; utachangia 10000 ya mafuta kwenda site
Nauza eneo la heka tatu
lipo mwanambaya sehemu moja ina itwa mwembe raha
linagusa barabara kubwa ya kilwa road
inafaha kutengenezea shell
bei m200
eneo lipo opposite na hiyo yard
title on process
kwa mawasiliano067*********
Apartment for rent at kibanda cha mkaa
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala kimojawapo ni master, sebule,dinning, jiko na choo cha familia
Nyumba ipo mbezi kibanda cha mkaa umbali wa dakika 15 kwa mguu kutoka morogoro road.
Zipo apartment 6 ndani ya compound moja kila apartment inajitegemea umeme na maji
#house for rent at mbezi kibanda cha mkaa
.
.
Hapa kuna;
#chumba
#sebule kubwa
#choo
.
.
Kodi ni 130,000/= inaongeleka kidgo
.
.
Ipo mbezi kibanda cha mkaa umbali wa kilometa moja na nusu kutoka morogoro road
.
.
Service charger ni 10,000/=