Baisikeli zetu si za umeme lakini zinamfumo wa zinatengenezwa kiwandani kwetu Tabata, fika uchukue mzigo. Ukihitaji kuunganishiwa mfumo wa umeme bei itaongezeka kidogo.
Unaweza kutumia kwaajili ya matumizi ya Guta, Daladala (Baadhi ya Maeneo), Kuuza rejareja kwaajili watu wengine na kadhalika.
Unaweza ukawa wakala wetu pia, karibu uchukue mali yako.
Gurudumu tatu
Mfumo wa umeme
Bei ya kiwanda