Hii sim ni kiboko kwa kamera inauwezo wa kupiga picha kitu cha mbali na kikatoka safi kama kilivyo
ina gb 128 kwa ram 12 na network yake ni 5G
simu zetu zina warranty
tuna fanya deliverry kwa wateja wa daar na wale wamikoani tunawatumia kwa uaminif mkubwa