Simu zetu ni used abroad dubai
Warranty miezi 6
Simu zetu ni very clean condition
256gb
Umbo kubwa
Inakaa sana na charge
Mkoani tunatuma utalipia baada ya kupokea mzigo wako
Dar es Salaam tunafanya delivery popote ulipo boss
Duka letu lipo kariakoo Mtaa Wa agrey Na likoma mkabala Na mkombozi bank
Karibu sana boss