Sifa Kuu za Redmi Note 14 Pro: Kioo Kikubwa cha 6.67” AMOLED: Uonyeshaji wa rangi safi na mwanga wa kuvutia. Kamera Kubwa ya MP 200: Picha na video za hali ya juu kila wakati. Hifadhi Kubwa ya 256GB ROM + 12GB RAM: Kasi isiyozuilika na nafasi ya kutosha kwa data zako zote.