3.5mm jack, aptX, Bluetooth 4.2, A2DP, LE, Fingerprint, USB Type-C 2.0
Features
Tumerestock simu yetu pendwa, Huawei Nova 2 yenye muonekeno wa iphone ,sifa zake kuu ni;
1) NI FULL BOX na COVER buree
2) TYPE C
3) LINE MBILI
4) GB 64
5) Ram 4
6) Water proof
7) Rangi mbalimbali
Tupo Kariakoo KKKT (Masasi). Kama upo mkoani muagize mtu unaemuamini. Au ukituamini tunakutumia simu yako kwa uaminifu wote. Karibu sana.