1.Simu hii ni google pixel 7 pro
2.Simu hii ni nzuri na inafaa kwa matumizi ya kila siku kama kupiga na kupokea simu , ku record na kupiga picha .
3.RAM 12 GB , storage yake 128 GB
Ina camera nzuri inayo support 4k
Ina battery linalo kaa na charge kwa mda mrefu
4. Simu hii ni used kutokea Dubai
5 . Wasiliana nasi kupitia074XXXXXXX