IPhone 13 ipo kwenye hali nzuri sana, clean kabisa na inafanya kazi zote bila shida. Ni chaguo bora kwa mtu anayetaka simu yenye speed kali na camera nzuri
Storage: 128 GB
Battery health: 100%
Face ID iko perfect
Haina cracks, screen safi kabisa
Inachukua picha na video za kiwango cha juu074XXXXXXX