ZBAND ANTI-SNORING CHIN STRAP
Snore Reduction System
Husaidia kupunguza kukoroma wakati wa kulala
Hushikilia taya na mdomo kufungwa vizuri
Huongeza airflow nzuri kupitia pua
Material laini na comfortable kuvaa usiku kucha
Adjustable strap – inafaa size tofauti tofauti
Rahisi kuvaa na kusafisha
Inafaa kwa:
Wanaokoroma sana
Wanaolala mdomo wazi
Kuboresha usingizi wa mtumiaji na mwenza wake