Kifaa cha kisasa kinachotumika kupima ubora wa maji kwa kuonyesha kiwango cha vitu na madini yaliyoyeyuka ndani ya maji (TDS). Husaidia kufuatilia ubora wa maji ya kunywa, maji ya matumizi ya nyumbani, viwandani na maeneo mengine.
Rahisi kutumia.
Ina digital display.
Hutoa majibu ya haraka.
Inafaa kwa kupima ubora wa maji