tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Repair & Construction
  3. Measuring & Testing Tools
Dar es Salaam, Ilala, 13 hours ago
3 views

Single Phase Prepaid Energy Submeter

+1
Brand New
Condition
Jetcode
Brand
Submeter
Type
Store address
Dar es Salaam • Ilala
Livingstone street 25, Opposite Arafat Restaurant, Kariakoo
Makutano ya Udoe Street na Livingstone Street, Town: Kariakoo, City: Dar es Salam, Country: Tanzania
Closed now
• Mon - Sun, 09:00-22:00
Meter hizi nisuruhisho la migogo na usumbufu kwa wapangaji na wenye nyumba wanaomiliki apartment, nyumba za kupanga na fremu za maduka au biashara kwa ujumla . Kwa kutumia Submeter hizi unampa mpangaji Uhuru wa kununua umeme wake kwa wakati wake wowote kwa kutumia SUBMETER yake. . Na ataweza kununua umeme kwa mfumo wa malipo ya kampuni kwa kutumia USSD ya mitandao ya Airtel, Mpesa, Mix by Yas au Halopesa au kwa mfumo wa Jetcode App . Cha muhimu atapatiwa Token za aina mbili za umeme atakazo tumia, mpangaji au mnunuaji mwenye Submeter husika. . Jambo la kuzingatia kwenye Tokens ulizopewa baada ya malipo ni kwamba kutakuwa na 1) Token za Meter kuu ya Tanesco:- Ambazo ni halali kwa matumizi ya meter kuu ya Tanesco bila shida yoyote... . 2) Token za Submeter:- Ambazo pia ni halali kwa matumizi ya Submeter husika iliyo nunua umeme
Show contact
Single Phase Prepaid Energy SubmeterSingle Phase Prepaid Energy SubmeterSingle Phase Prepaid Energy Submeter
TSh 135,000
5 Feedbackview all
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif