Tunauza Mold za Madini, vifaa vya kisasa vinavyotumika kutengeneza maumbo ya madini, dhahabu, shaba na metali nyingine. Mold hizi ni za kudumu, zenye ubora wa juu, na zinafaa kwa wachimbaji, madini ya thamani, viwanda vidogo vya utengenezaji wa madini, na wapenzi wa kutengeneza bidhaa za metali. Zinasaidia kupata umbo sahihi, kupunguza upotevu wa madini na kuongeza ufanisi wa kazi.