Digital Grain Moisture Meter ni kifaa kinachotumika kupima kiwango cha unyevu kwenye nafaka na mazao mbalimbali kama mahindi, mpunga, ngano na mazao mengine. Husaidia kujua kiwango cha ukavu wa mazao kabla ya kuhifadhi, kuuza au kusindika. Kina display ya kidigitali, ni rahisi kutumia na kubeba.