tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Repair & Construction
  3. Measuring & Testing Tools
Promoted
Dar es Salaam, Ilala, 1 hour ago
12 views

Mizani Za Madini

+1
1
Brand New
Condition
Wauzaji group
Brand
Scale
Type
Delivery
Across country
1 day
Free of charge
Store address
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Open
• Mon - Sun, 05:00-23:00
Tunauza Mizani za Madini za kisasa, zinazofaa kwa wachimbaji, wafanyabiashara wa madini, na maabara. Pata mizani bora kwa kupima uzito wa dhahabu, almasi, na madini mengine kwa usahihi mkubwa! Faida za Mizani za Madini: - Inapima kwanzia gram 0.01 mpaka gram 500 - Usahihi wa hali ya juu kwa kupima uzito wa gramu ndogo. - Zinapatikana katika aina za kidigitali na zenye viwango mbalimbali vya uwezo. - Imara, sugu, na zimedumu kwa muda mrefu hata katika mazingira magumu. - Zinapunguza makosa ya upimaji kwa matokeo ya kuaminika. - Rahisi kutumia, nyepesi, na rahisi kubeba popote. Tunasafirisha popote ulipo Tanzania kwa haraka na uhakika.
TSh 50,000
Fixed price
1 Feedbackview all
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif