Bucha letu maarufu linakupatia samaki aina ya Kuhe na Mgebuka kutoka Kigoma wakiwa fresh kabisa! Sisi tunalenga zaidi samaki wabichi, lakini pia kama unahitaji wa kukaangwa, tunapokea oda na kukukaangia vizuri sana kulingana na unavyotaka wewe. Karibu sana bucha letu linapatikana Kariakoo, maeneo ya nyuma ya China Plaza, mtaa wa 26Magira bolt. Samaki safi, huduma safi! Karibuni sana.