Hiki ni kiungo ambacho kinamchanganyiko bora na fedha ya kuvutia kiungo hiki ndani yake kuna korienda kuna rosemary unamuringa na viungo vingine vyote kwa ajili ya mchuzi kiungo hiki special kwa ajili ya kupikia ni kizuri mno na kinapatikana kwa gharama nafuu sana gharama yake ni shilingi 3,000 kwa part ya gramu hamsini tu jipatie leo kiungo chako bora cha alpha spice