Pampu ya kumyonyesha mtoto ambayo inatumia umeme hii pump ni nzuri san kwa mtoto na ww mama ambaye unataka kwenda kazini na mtoto wako unapata tabu usijali suluhisho ni electric breast pump ambayo unakamuwa maziwa na mtoto akatumia maziwa yako bila ya ng'ombe