Vibration machine – fanya mazoezi kwa urahisi nyumbani!
ungependa kufanya mazoezi ukiwa nyumbani? hii hapa ni mashine maalumu ya vibration inayokusaidia kufanya mazoezi kwa urahisi na kwa muda unaokufaa!
ina sifa mbalimbali:
hutikisa mwili kupitia teknolojia ya vibration.
ina sehemu ya kusimamia miguu yenye muundo wa massage.
ina digital display kwa ajili ya kuonyesha taarifa za matumizi.
ina viwango tofauti vya vibration.
muundo wake ni imara na rahisi kutumia.
inafaa kwa mazoezi ya nyumbani.