Matumizi ya Sehemu Mbalimbali za Mwili: Inafaa sana kusugua na kukanda Kichwa (Scalp), Shingo (Neck), Mikono (Arm), Tumbo (Abdomen), na Mabega.
Kazi ya Kina (Deep Tissue Relief): Head zake 4 za mpira laini zinazozunguka zinasaidia kuongeza mzunguko wa damu, kuondoa msongo wa mawazo (stress), na kupunguza maumivu ya misuli.
Inafaa kwa Kila Mtu: Kamili kwa wafanyakazi wa maofisini (staff), wanafunzi, kina mama wa nyumbani, na wazee.
Inatumia Rechargeable Battery: Inachajiwa kwa urahisi na unaweza kuitembeza popote usumbufu wowote wa waya.
Laini na Salama: Mpira wake ni mwanana kwenye ngozi na hauvuti au kukata nywele.