Teknolojia ya Acupressure: Inasisimua pointi muhimu za nyayo za miguu ili kuboresha mzunguko wa damu na kupunguza maumivu ya mwili.
Vitufe Vinavyozunguka na Chemchem (Rotating & Spring Beads): Kitufe kila kimoja kinabonyezeka na kuzunguka ili kutoa massage ya kipekee na yenye ufanisi wakati unatembea.
Velcro Inayojirekebisha (Adjustable Strap): Ina mikanda ya velcro inayokupa fursa ya kurekebisha ukubwa kulingana me saizi ya mguu wako kwa urahisi.
Kuondoa Msongo wa Mawazo na Uchovu: Ni nzuri sana kuvaa jioni baada ya siku ndefu ya kazi ili kupumzisha miguu na mwili.
Kwa Wanaume na Wanawake: Inafaa kwa rika zote na saizi zote.