Tunauza High Frequency Induction Heating Machine, mashine ya kisasa inayotumia umeme kupasha joto metal kwa haraka bila kugusa moja kwa moja. Mashine hii inafaa kwa kuyeyusha metal kama dhahabu, shaba, chuma na nyinginezo. Ni salama kutumia, ina ufanisi mkubwa na inapunguza upotevu wa nishati, hivyo ni chaguo bora kwa viwanda, karakana za ufundi na wachimbaji wa madini.