tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Commercial Equipment & Tools
  3. Manufacturing Equipment
Promoted
Dar es Salaam, Ilala, 3 hours ago
2 views

Full Automatic Incubator Za Mayai 30 Zinapatikana

+1
Incubator
Type
Brand New
Condition
Full Automatic Incubator za mayai 30 zinapatikana ncubator hizi ni special kwa wale wanaohitaji mashine ndogo ya kisasa inayotumia umeme wa Tanesco au genereta na wa solar au betry inayototolesha mayai ya kuku wa kienyeji, chotara au wa nyama, bata aina zote, kanga na kware. Kwa asilimia 98 zinajiendesha zenyewe ambapo kila baada ya masaa mawili zinageuza mayai zenyewe na ukiwasha tu zinaset na kubalance joto na unyevu zenyewe hivyo ni rahisi kutumiwa hata na wale ambao hawana uzoefu nazo kabisa. Pia tuna mashine za kutotolesha vifaranga za mayai 36, 70, 128, 264, 352, 528, 880, 1056 na kuendelea. Hizo zote ni full automatic. Tunapatikana Ubungo/ Mawasiliano Dar es salaam
Full Automatic Incubator Za Mayai 30 ZinapatikanaFull Automatic Incubator Za Mayai 30 ZinapatikanaFull Automatic Incubator Za Mayai 30 Zinapatikana
TSh 295,000
2 Feedbackview all
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif