Tunauza mashine za kisasa za kujaza vimiminika kwa mfumo wa moja kwa moja, zinazofaa kwa viwanda vidogo, vya kati na vikubwa hapa Tanzania. Automatic Liquid Filling Machine ni suluhisho bora kwa biashara zinazojihusisha na uzalishaji wa maji, juisi, maziwa, mafuta ya kupikia, asali, shampoo, sabuni ya maji, losheni na bidhaa nyingine za kimiminika.