Printer hii inachapisha picha, inatoa kopi nyeusi hadi 15000 na rangi hadi 8000, kus can, kutoa passport size nk nimeamua kuacha kazi za stationary ni nzuri sana kwa siku inauwezo wa kutoka zaidi ya kopi 3000 picha zaidi ya 1000 na pia inatoa picha za ukumbwa wa a4 pia wino wake upo full ni kachukua na kufanya kazi tu ni ngumu sana. inafanya kazi nyingi
Jamani nauza baiskeli yangu ninayoitumia mimi mwenyewe;
aina ya baiskeli: deeper
gia: shimano gia 6
condition: used and very good
location: sinza lego
unabadilisha tube ya tairi la mbele tu, mzigo unapiga kazi kama kawaida.
mawasiliano (sms/calls (whatsapp)
Bei 30 mazunguzo yapo kioo cha nyuma kimevunjika ila matengenezo yote yatakatwa kwa muuzaji baada ya kufika kwa fundi na kukubaliana matengeneza muuzaji atalipia ipo barabarani kama route inavyoonyesha
Nauza kiwanja cha kujenga mashine ya kusaga nafaka kama vile,unga na alizet kipo nkuungu muungano sehemu hiyo imejengeka ila hakuna kiwanda ni fursa ya kipekee kwa muwekezaji
majirani wa hilo eneo ni nkuungu juu,ndachi na mnada mpyaa
kama pesa ipo na unataka kuwekeza njoi nikupeleke site
note; utachangia 10000 ya mafuta kwenda site
nauza viwanja kwa ajili ya kujenga nyumba za kupangisha ...kipo karibu sana na chuo kikuu cha dodoma udom ....umeme upo hapo hapo na kiwanja kipo barabarani kabisa ......level ya chumba eneo hili single ni 50000 na self 80000
Nauza kiwanja cha hotel site sqm 6000+ kiwanja kimezungukwa na barabara 4 kuu za mtaa pia kipo mita 300 tu kutoka lami ya morogoro road eneo hilo lishajengeka kuna sheli mbili za banji eneo ni tambarare uwanda wa juu kupata eneo ambalo limepimwa kwa ajil ya hotel ni fursa kubwa sana if interested njoo nikupeleke site na malipo ni cash not installment
Kwa Ustadi na ubora wa hali ya juuu tunatengeneza na ku-Design Furniture's tofauti tofauti, karibu @joyfurnitures_tz tukuhudumie
--------------
Tupo Kimara Stop Over...
Call/WhatsApp
Mradi mpya!!!
Buyuni beach plot.
-ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-mradi upo buyuni beach.
-umbali ni 45km toka kigamboni ferry.
-huduma zote za kijamii zinapatikana.
-viwanja vimepimwa kuanzia square meter 400 na kuendelea.
-eneo lake ni zuri na neighborhood yake inavutia kwa kweli.
-bei ya square meter moja ni 35000.
Bei ya square meter 400(20m kwa20m) ni milioni 14.
-hati hutolewa baada ya kumaliza malipo ya kiwanja.
-maongezi yapo.
Njia za malipo
unaanza kulipa asilimia 50 inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi sita ama mwaka mzima ukiigawanya kwa kila mwezi.
Zingatia:
viwanja havigusi maji moja kwa moja ila ni mita chache toka baharini na view ya bahari
Mradi mpya!!!
Buyuni beach plot.
-ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-mradi upo buyuni beach.
-umbali ni 45km toka kigamboni ferry.
-huduma zote za kijamii zinapatikana.
-viwanja vimepimwa kuanzia square meter 400 na kuendelea.
-eneo lake ni zuri na neighborhood yake inavutia kwa kweli.
-bei ya square meter moja
Bei ya square meter 400(20m kwa20m) ni milioni 14 .
-hati hutolewa baada ya kumaliza malipo ya kiwanja.
-maongezi yapo.
Njia za malipo
unatoa asilimia 30 inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi sita ama mwaka mzima ukiigawanya kwa kila mwezi.
Zingatia:
viwanja havigusi maji moja kwa moja ila ni mita chache toka baharini na view ya bahari unaiona kwa uzuri na ukaribu
Jipatie games tofauti kwa bei nafuu zaidi.
Games za computer, games za ps2 na ps3.
Kwa wenye computer kama game itashindwa kuingia kwenye pc yako tutakufanyia service bure then tunakuwekea game
picha ya kwanza ni
Puzzle
6,000 tsh
picha yapili
Learning cards & puzzle
6,000 tsh
picha ya tatu
Teether
Inamsaidia mtoto kukuna mapengo
6,000 tsh
kalibuni wote
vyote tsh 18000