Full RGB & Bi-color: Inakupa rangi mbalimbali za kuvutia za RGB pamoja na uwezo wa kubadilisha joto la mwanga (Color Temperature) kulingana na mahitaji ya eneo lako la kazi.
Inakuja na Mabawa (Barnadoors/Wings): Inakusaidia kudhibiti na kuelekeza mwangaza wako kwa ustadi mkubwa bila kusambaa ovyo.
Matumizi Rahisi (Handheld & Stand): Ni nyepesi, inashikika mkononi kwa urahisi sana au kuwekwa kwenye stendi ya taa.
Inafaa kwa Kila Kazi: Ni nzuri kwa picha za bidhaa (product photography), mahojiano, video za muziki, na urembo.
Kifaa Kamili: Inakuja na adapta yake ya umeme na vifaa vyote vya kuanzia kazi mara moja.