Rangi za Kuvutia (RGB): Inatoa mbalimbali ya rangi zinazoweza kubadilishwa ili kuleta muonekano wa kisasa na wa kuvutia kwenye chumba chako, sebule, au duka.
Inakuja na Remote Control: Unaweza kubadilisha rangi, kuongeza au kupunguza mwangaza, na kuweka staili mbalimbali za mwanga kwa urahisi ukiwa umekaa mbali.
Seti Kamili (Full Set): Ndani ya pakti unapata waya wa taa wa LED, remote, na adapta yake tayari kwa ajili ya kuchomeka na kutumia mara moja.
Matumizi Mbalimbali: Inafaa sana kwa ajili ya kupambia nyuma ya TV (TV backlighting), dari (gypsum), vitanda, maduka, au kumbi za starehe.