Urefu Kamili (5 Meters): Inatoa urefu mzuri wa kutosha kwa ajili ya kupendezesha vyumba, maduka, maofisi, dari (popote au gypsum), TV backlighting, au kumbi za starehe.
Inakuja na Remote Control: Unaweza kubadilisha rangi na staili za mwangaza kwa urahisi ukiwa umekaa mbali.
Rangi za Kuvutia (RGB): Inatoa mwangaza laini wa Neon unaong'ara vizuri bila kuchoma macho, ukileta muonekano wa kisasa na wa kifahari (Modern aesthetic look).
Matumizi Salama: Inatumia 12V, inaokoa umeme na ni rahisi kufunga kwenye eneo lako unalotaka kupendezesha.