Punguzo! magnetic track lights zinauzwa!
boresha mjengo wako kwa ta hizi za kisasa kabisa za reli za sumaku ambazo unaweza kuzisogeza na kuzipanga utakavyo! zinafaa sana kwa sebule, ofisi, vyumba vya kulala, au maduka ya kisasa ili kuleta muonekano wa kifahari (premium look).
orodha ya bei za reli (tracks):
reli ya mita 1⁄2: tsh 12,000 (inakaa taa 4)
reli ya mita 1: tsh 8,000
reli ya mita 2: tsh 15,000 (inakaa taa 6, 8 mpaka 10)
orodha ya bei za taa (led modules):
taa ya wati 30 (30w): tsh 25,000
taa ya wati 45 (45w): tsh 30,000
tunapatikana: kariakoo, jengo la swahili plaza, mtaa wa ndungombe na swahili
mawasiliano (piga/whatsapp):
wahi sasa upate bidhaa bora kwa muonekano wa kisasa wa nyumba au ofisi yako!