Inawaka na Kuzima Yenyewe (Automatic): Kifaa hiki kinawasha taa kiotomatiki kunapofika usiku (giza) na kuzima zenyewe kunapopucha asubuhi, hivyo kinakupa urahisi na usalama mkubwa.
Inaokoa Umeme: Inasaidia kuhakikisha taa haziwaki wakati wa mchana kwa kusahau, jambo linalopunguza bili ya umeme.
Inafaa kwa Taa za Nje (Outdoor): Ni nzuri kwa ajili ya taa za nje ya nyumba, getini, ukutani, au kwenye uzio (security lights), ikiwa na uwezo wa kuhimili mazingira ya nje (IP44).
Rahisi Kufunga: Inakuja na vifaa vyake vyote vya kufungia (screws na bracket) kwa ajili ya ufungaji rahis