Inafaa kwa TV na Vyumba: Urefu wa mita 5 unatosha kabisa kuweka nyuma ya TV kubwa, kwenye meza, au kuzungushwa chumbani ili kuleta muonekano wa kisasa na wa kuvutia.
Inatumia USB: Inaunganishwa kwa urahisi kwenye lango la USB la TV yako, laptop, au chaja ya kawaida.
Inakuja na Remote Control: Unaweza kubadilisha rangi mbalimbali, kuongeza au kupunguza mwangaza, na kuweka staili unayotaka ukiwa umekaa mbali.
Inalinda Macho: Inapunguza uchovu wa macho unapotazama TV gizani kwa kutoa mwangaza laini na wa kuvutia nyuma ya kioo.