Unahitaji kiwanja maeneo ya kigamboni mwembe mdogo (somangira)??, hiki hapa,.
- kina ukubwa wa mita za mraba 875 hivyo kinatosha kwa nyumba kubwa ya makazi ama biashara yoyote.
- kina umbo (shape) nzuri yaani kimenyooka hakuna konakona, hii itakusaidia kutumia eneo lako lote bila changamoto za kujibana bana.
- kiko barabarani, kama utajenga nyumba ya kuishi basi ukitoka tu kwako upo njiani hii itapunguza gharama za usafiri kwako na mgeni wako, na kama utaweka biashara basi wateja wako watapaona kwa urahisi na watachukua mzigo bila shida yoyote haha.
- kuna huduma zote, maji, umeme na mahitaji mengine ya kijamii.
p.s kiwanja kina nyaraka zote kama unavyoona pichani, usiwe na wasi kabisa, piga simu