Vyombo Viwili (Twin Tub): Moja la kufuria na lingine la kukamulia/kukausha.
Super Wash & Super Care: Inasafisha madoa kwa umakini na kulinda ubora wa nguo zako.
Kukamua kwa Kasi: Nguo zinatoka zikiwa zimekamulika vizuri na kukauka kwa muda mfupi.
Inaokoa Umeme na Maji: Matumizi madogo ya umeme yanayofaa matumizi ya kila siku.
Uimara wa Uhakika: Chapa bora ya Westpoint inayodumu kwa muda mrefu.